Home

Tanzania Physicians

Latest Updates

Home delivery would now be available for areas such as town upanga & kkoo, tomorrow onwards.. Thank you❤️

What a day...... #nyerereday #akmanagement #cignatsinza #cignatmbagala #promotionday #freetestingday AK management and Cignat Health System teams nourished the day #goodsoccermatch AK team won. #trophie

@Afya ni Utajiri 2017-08-30

THIS IS FOR MY AWESOME 2,166 FANS Thank you ! Thank You ! Thank You! We just reached incredible 2000+ Facebook fans. This is why we would like to say a special thank you to all our fans, friends, followers and readers. Your support is a daily incentive to living our mission to provide you with free health tips above and beyond!

Now you can apply online through our application system http://eastlendcollege.ac.tz/index.php/online-application .

MATATIZO YA UZAZI KWA WANAUME. Wanaume wana matatizo mengi sana ya uzazi tofauti na inavyodhaniwa kuwa Wanawake pekee ndio wana matatizo hayo. Mtatizo nimengi kama vile kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa, kushindwa kurudia kabsa ibada hiyo, maumbile madogo n.k. Yote hayo tunayajumuisha pamoja na kuwa tatizo moja kitaalamu linafahamika kaE INFERTILiungo yva uzazi kwa mwanaume vimegawanyika sehemu mbili kuu (1) Viungo vya nje. Hivi ni vile tunavyoweza kuviona kama uume na korodani. (2) Mirija ya mbegu za kiume na tezi dume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu za uzazi, hivi ni viungo vya ndani. Ufanisi wa tendo la ndoa kwa mwanaume unategemea sana usalama wa viungo hivi, vikipata matatizo basi mwanaume tayari huwa ameingia kwenye mtihani mkubwa, ikiwa ni pamoja na kushindwa kumpa mwanamke ujauzito. MBEGU ZA UZAZI. Mwanaume madhubuti anatakiwa awe na wastani wa kiwango cha mbegu zenye ubora kati ya milioni mia na ishirini (120, 000, 000) mpaka milioni mia tatu na hamsini (350, 000, 000) kwa ujazo wa Mililita moja (1ml) ya manii. kiwango hicho kikishuka hadi milioni arobaini (40, 000, 000) hilo ni tatizo. Aidha manii bora ni yale mazito yasiyo na harufu wala kupelekea muwasho kwa mwanamke. BAADHI YA SABABU ZINAZOPELEKEA MATATIZO KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME NI; Unywaji wa pombe wa kupindukia, uvutaji sigara, kujichua (punyeto), msongo wa mawazo (stress), kazi za kukaa na kusimama kwa muda mrefu, kutumia madawa ya kuongeza nguvu (yenye kemikali) na bila ya ushauri wa kitaalamu. Ulaji wa nyama nyekundu (red meat) kwa wingi, utumiaji wa mafuta yatokanayo na wanyama, mboga zilizo pulizwa dawa na kutumika kabla hazikata sumu n.k. Uume unatakiwa usimame barabara kwa asilimia mia kama msumari lakini mtu anapojichua analegeza uume wake kwa kuwa kitendo hicho husababish akusinyaa kwa mishipa ya kiungo hicho muhimu. Madawa ya kikemikali nayo ni tatizo hii ni kutokana na kuwa na uwezo mkubwa kuzidi mahitaji hivyo mishipa ya uume inakazika kuliko kawaida na hali hiyo ikiwa endelevu mtu huyo hawezi tena kumudu tendo la ndoa mpaka atumie dawa hizo. SULUHISHO Suluhu ya kwanza ya matatizo haya ni mtu kuacha tabia iliyopelekea kuyapata. hii ni kwa wale waliopata kutokana na mwenendo wa maisha hayo kama ulevi kupindukia, kujichua n.k. Kwa wenye msongo wa mawazo wajitahidi sana kutatua matatizo yao kabla ya kuwaletea shida nyingine kama hizi kwani kuwaza sana huwa hakumsaidii mtu bali huongeza mzigo kama vile magonjwa. Tiba aidha kwa wale waliopata matatizo kutonakana na mienendo ya maisha kama ulevi, kujichua n.k au kwa maradhi kama kisukari , ngiri, kupooza na mambo mengine inapatikana cha msingi kutokata tamaa. Madawa ni mengi na ya asili na baadhi ni vyakula tuvitumiavyo kila siku ila tatizo ni kutojua tu mchanganyiko wake. Kwa mfano mchanganyiko wa asali na mdalasini (Cinnamon) huondoa kabsa tatizo hili kwani asali imekua na historia kubwa ya kuamsha hisia na kuleta nguvu kubwa kwa mwanaume na huwa nguvu zaidi ikichanganywa na mdalasini, tangawizi n.k Kwa maelezo zaidi na tiba usisite kuwasiliana na Nazaret Sanitalium Clinic : 0688 208083 au 0713 208083.

MAMBO YA KUYAFAHAMU UMTAFUTAPO MTU WAKUWA NAE MAISHANI: SIKILIZA KIPINDI HIKI https://web.facebook.com/maishanamuzikitz/videos/653445691509747/

The East African Health Research Commission is organising its 6th East African Health & Scientific Conference and International Health Exhibition and Trade Fair that will be held in Bujumbura Burundi from March 29-31, 2017. The DEADLINE for abstract submission has been extended to JANUARY 9, 2017 Currently sponsorship to attend the Conference is not available.

AAR members are acceptable at Besta Diagnostic Center. Thank you for the support all the days. And you wish have a peaceful new year